Saturday, August 27, 2016

KWA UFUPI--KAMATA KAMATA MASWA CHADEMA

Viongozi 17 wa Chadema wilaya ya Maswa wafikishwa mahakama ya wilaya ya Maswa kwa kosa moja la Kujaribu kushiriki kutenda kosa au uhalifu .Wamenyimwa dhamana isipokuwa Frola Musuka ambaye ni mjamzito na mgonjwa.Kesi hiyo itatajwa tena tarehe 2.9.2016 mahakama imelitaka jeshi hilo siku hiyo iwe imekamilisha upelelezi na dhamana ndiyo itatolewa siku hiyo.

No comments: