Vikundi vya Scorpion na warriors vikichuana vikali uso kwa uso kuonyesha nani zaidi kati yao kwenye mashindano ya Tigo Dance la Fiesta. |
Jaji Jackline Cliff akitoa maelekezo kwa mojawapo ya kikundi kilichoshiriki shindano la Tigo Dance la Fiesta jijini mwanza leo, Jumla ya vikundi nane vilichuana.
|
Kikundi cha Mirambo kikionyesha cheche zake. |
Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani ya ukumbi wa Villa Park. Mwanza |
Kikundi cha TYT kikiwa mzigoni ndani ya ukumbi wa Villa Park. Mwanza |
Sehemu ya watu walioshuhudia mchuano wa Tigo Dance la Fiesta |
Kikundi cha Team Maximum japo hawakushinda ila walionyesha umahiri mkubwa. |
Kikundi cha Turn Kardi kilitoa vionjo vya michael jackson |
Kikundi cha warriors kikichuana vikali kutafuta ushindi wa shindano la Tigo Dance la Fiesta |
No comments:
Post a Comment