Mkurugenzi wa mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP akizungumza na wanahbari leo Jijini Dar es salaam katika makao makuu ya Mtanzdao huo wakati akizindua Warsha ya siku mbili kwa wanahabari iliyokuwa na lengo la kuwajengea uwezo wanahabari jinsi ya kureport Habari za jinsia Hususani Kujadili kwa kina Bajeti ya Tanzania na jinsi Gani inaweza kuwa katika mlengo wa jinsia.
Wakati akizindua warsha hiyo amewataka wanahabari kuhakikisha kuwa wanaijadili na kuizungumza Bajeti ya Tanzania katika mlengo wa Jinsia ili iweze kusaidia Jamii kwa mapana yake. |
No comments:
Post a Comment