Monday, August 8, 2016

PICHA--LOWASA ALIVYOTEMBELEA MAONYESHO YA NANE NANE

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika moja ya Mabanda wakati alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane mkoani Morogoro, kuangalia, kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya maswala kilimo.  
Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa akiwa katika Banda la Mfuko wa Wastaafu wa GEPF, wakati alipotembelea maonesho ya Kilimo ya Nanenane mkoani Morogoro leo.

No comments: