Wakazi wa mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye banda la tigo katika viwanja vya nanenane Nyamhongoro |
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa tigo Mussa Timoth,akiwapa maelezo ya simu wateja waliofika kwenye banda la Nanenane Nyamhongoro Mkoani Mwanza. |
Wateja wa simu wakiziangalia wakati wakinunua kwenye banda la Tigo la maonyesho ya Nanenane eneo ma Nyamhongoro. |
Wakazi wa mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye banda la tigo katika viwanja vya nanenane Nyamhongoro |
No comments:
Post a Comment