Picha Hizi zimeanza kusambaa mitandaoni zikimuonyesha Mzee Lowasa ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA EDWARD LOWASA akiwasili mkoani Mbeya. Inasemekana Lowasa Yupo Mbeya kwa ajili ya Kushiriki kampeni ya UKUTA ambayo inataraji kufanyika Tarehe Moja mwezi ujao |
No comments:
Post a Comment