Napenda kuchukua nafasi hii kuwapa mkono wa Eid waislam wote hapa nchini.Hii ni siku muhimu sana kwa waislam na kwetu sote kwani inatukumbusha umuhimu wa upendo na kuvumiliana.
Nawaombea wale waliojalaaliwa kwenda hijja kutimiza moja ya nguzo za uislam waitimize na kurudi salama.
EID Mubarak!
No comments:
Post a Comment