Ni mwaka sasa umepita tangu umetangulia mbele za haki 12/9/2015 Mohamed Mtoi aliekuwa mgombea ubunge CHADEMA wa jimbo la Lushoto kwa ajali ya Gari msimu ule wa Kampeni za mwaka jana.
Mtandao wa Habari24 Blog Unakukumbuka kwa sala na watanzania wote wanazidi kukuombea kwa mwenyezi mungu ulale mahali pema peponi milele.
Pumzika kwa amani kamanda
No comments:
Post a Comment