Tuesday, October 25, 2016

Haya ndiyo yaliyojiri kwenye soko la hisa wiki hii kuisha Ijumaa tarehe 21 Oktoba 2016

.
Mauzo ya Soko
mauzo yamepanda kwa 28% kutoka TZS 3 Bilioni kufikia TZS 3.8 Billion.
Idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimepanda mara 19 zaidi kutoka laki 5 kufikia 9.8millioni

Makampuni yanayoongoza kwa idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa ni zifwatazo:
CRDB ………………………………………..95.18%
MKCB ………………………………………….. 2.92%
TBL ………………………………………..….0.79%

Mtaji wa Soko la HISA
Ukubwa wa mtaji wa soko umepanda kwa 3.53% kutoka 20.8 trillioni  hadi 21.56 trillioni
Mtaji wa makampuni ya ndani umepanda kwa asilimia 0.36% kutoka 8.13 trillioni hadi 8.16 trillioni   
Viashiria (Indexes)
Sekta ya viwanda (IA) imepanda kwa pointi 26.16 imechangiwa na kupanda kwa bei kwenye counta za TBL kwa 0.79%
Sekta ya huduma za kibenki na kifedha (BI) imeshuka kwa pointi 0.51 imechangiwa na kushuka kwa bei kwenye counta ya DSE kwa 3.13%
Sekta ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama awali baada ya bei za hisa kwenye counter ya Swissport kubaki kwenye TZS 3534.64

No comments: