Saturday, October 22, 2016

Mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe akabidhiwa madawati 50 na uongozi wa shule ya Sekondari ya wavulana ya Abbey iliyopo Masasi



Mbunge wa jimbo la Ndanda, Cecil Mwambe akipokea sehemu ya zawadi ya madawati 50 aliyopewa na uongozi wa shule ya Sekondari ya wavulana ya Abbey iliyopo Masasi wakati wa mahafali ya saba ya kidato cha Nne.Kulia ni Msaidizi wa Abate Abasia ya Ndanda na paroko wa Parokia ya Ndanda,Faza Silvanus Kessy, akifuatiwa na mkuu wa shule,Faza Augustine Ombay.Kushoto kabisa mwenye shati jeupe aliyesimama ni diwani wa kata ya mwena Nestory Chilumba.

No comments: