Saturday, October 22, 2016

MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA SECONDARY DAR ES SALAAM BAPTIST YAFUNIKA-PICHA ZIPO HAPA NYINGI TU

Wanafunzi wa Kidato cha Nne katika shule ya Secondary ya Dar es salaam Baptist wakiwa katika mahafali yao yaliyofanyika jana katika shule yao iliyopo magomeni Jijini Dar es salaam,Takribani wanafunzi 71 wamehitimi kidato cha nne katika shule hiyo mwaka huu hii ikiwa ni mahafali ya 15 katika shule hiyo


Mkuu wa shule ya Dar es salaam Baptist Secondary IMAN OSCAR  akizungumza na wanafunzi na wazazi waliohudhuria katika mahafali ya mwaka huu ya shule hiyo ya kidato cha nne yaliyofanyika Jana Magomeni Jijini Dar es salaam.
Mgeni Rasmi katika mahafali ya Kidato cha Nne katika shule ya Secondary Dar es salaam Baptist iliyopo magomeni Jijini Dar es salaam ambaye ni Mwenyekiti wa makanisa ya Baptist Kanda ya Pwani JOHN MWAJEBA akizungumza na wazazi na walezi pamoja na wanafunzi katika mahafali hiyo.
Nakupa nafasi ya kutizama picha zaidi za mahafali hiyo pamoja na vipaji mbalimbali vilivyopo shuleni hapo






































No comments: