Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco kufanya ziara ya siku tatu nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea na Wahandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu ziara rasmi ya siku tatu ya Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco nchini. Mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara Jijini Dar es Salaam. Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco anatarajiwa kuanza ziara hiyo tarehe 23 hadi 25 Oktoba, 2016.
No comments:
Post a Comment