Add captionMwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia), Katibu wa baraza hilo ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga(kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya matairi ya Superdoll, Seif Seif(wapili kushoto), wakimsikiliza Msimamizi wa Kituo baada ya uzinduzi wa kituo kinachotoa huduma za magari upande wa matairi, Paul Kusoga wakati akitoa maelezo ya jinsi ya kulichunguza tairi kutumia mfumo wa komputa.Uzinduzi huo ulifanyika jana Magomeni Usalama, Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi) |
No comments:
Post a Comment