Friday, October 28, 2016

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Akabidhi Msaada wa Vyakula na Matunda Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar.

Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akikabidhi msaada wa Matunda na Vyakula kwa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar akipokea msaada huo Daktari Mkuu wa Hospitali hiyo Bi Zainab Kassim. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya hospitali hiyo huko Mental.
Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib akisalimiana na Mgaga Mkuu wa Hospitali ya Mental Kidongochekundu Zanzibar Bi Ruzuna Mohammed,wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo wa Matunda kwa ajili ya Wagonjwa wanaopata tiba katika hospitali hiyo. Kuu Zanzibar. 
Mhe Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Zanzibar Mhe Juma Ali Khatib, akizungumza na Viongozi baada ya kukabidhi msaada huo nac kuwataka Wananchi na Wafanyabiashara kujitokeza kusaidia Wagonjwa wa akili ili kusisikia wako katika mazingira mazuri na kupota misaada mbalimbali inayohitajika kwao na kwa jamii. 
Imeandaliwa na OthmanMapara. Zanzinews.com
Mobile 0777424152.   

No comments: