Sunday, December 18, 2016

WATAALAM WAJIFUNGIA DAR ES SALAAM KUICHAMBUA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 ILI WATOE MAPENDEKEZO YAO

Cazmiry Sabath (kulia) ambaye ni mwakilishi wa serikali kutoka Wizarani akiendesha mjadala huo maalum kwa ajili ya kujadili kwa kina mapungufu  mapendekezo ya marekebisho kwenye sheria ya ndoa ya mwaka 1971 nchini Tanzania katika kikao Kinachofanyika Jijini Dar es salaam kwa siku Tatu 


Wadau wakiwa katika Majadiliani ya kuipitia kifungu kwa kifungu sheria hiyoili kutoka na maoni ya pamoja kuhusu maboresho ya sheria ya ndoa nchini Tanzania.
Baadhi ya wadau kutoka mashirika mbalimbali ya kijamii na wengine kutoka wizara ya Katiba na sheri wakiwa katika kikao maalum cha kujadili kwa kina maboresho ya sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 nchini Tanzania kikao ambacho kiliandaliwa na Wizara ya katiba na sheria kwa kushirikiana na wadau wakubwa wa maswala hayo ambao  ni shirika la USAID na TGNP-Mtandao kikapo ambacho kinafanyika Jijini Dar es salaam


Michael Mushi, huyu wakili kutoka kampuni ya ushauri wa miradi iliyopo shekilango akiwa anashiriki katika Kikao hicho cha kutoa maoni juu ya sheria ya ndoa nchini Tanzania ikiwa ni siku ya kwanza ya mkutano Huo

No comments: