Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa
Kapaya(kushoto), akizungumza na Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba, alipofika ofisini kwa waziri kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo
hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiagana na Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa
Kapaya (kushoto), baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri
huyo,kujadili masuala ya wakimbizi
wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania.Mazungumzo hayo
yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
|
Waziri
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya
pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia
Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto) ,baada ya kumaliza mazungumzo
yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo,kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi
mbalimbali nchini Tanzania.Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi kutoka
wizarani hapo, Harrison Mseke.Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es
Salaam.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
|
No comments:
Post a Comment