Wednesday, June 28, 2017

Kampuni ya Tigo ilivyowafuturisha watoto wa kituo cha yatima cha Umra Magomeni

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakiwa kwenye foleni kushiriki futari pamoja na watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni Jijini Dar es Salaam
Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakipata futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam.

Watoto wa kituo cha Umra Orphanage kilichopo Magomeni wakiwa katika foleni kupata  futari iliyoandaliwa na kampuni ya Tigo mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar Es Salaam.

No comments: