MZEE ALIYECHORA NEMBO YA TAIFA FRANCIS NGOSHA AAGWA MUHIMBILI
June 2, 2017 ilitolewa taarifa ya kupatikana kwa ndugu wa marehemu mzee Francis Maige Kanyasu ambaye anatajwa kuwa mmoja wa waliochora Nembo ya Taifa ambapo ilielezwa pia kuwa mwili wake utaagwa leo June 3, 2017 katika Hospitali ya Muhimbili.
mapema leo katika hospitali ya Muhimbili shughuli za kuagwa kwa mwili mzee Francis Maige ‘Ngosha’ ambao umesafirishwa kwenda kijijini kwao Igokero, Wilaya ya Misungwi, Mwanza kwa ajili ya mazishi.
No comments:
Post a Comment