Tecno Mobile imetoa simu bomba kwa
ushirikiano na klabu ya mpira ya
Manchester city na simu hii ni inasifika
kwa umbo zuri sana.
Simu nyingi zimekua zikitengenezwa
kwa umbo la plastiki haijalishi maumbo yao lakini kinachotengenezewa ni
plastiki lakini kwa miaka ya hivi karibuni maumbo yamebadilika kutoka plastiki
mpaka metali na glasi. Simu zilizotengenezwa kwa metali ni simu zinazoonekana
za juu na zenye thamani Zaidi.
Simu hii ya Manchester city
imetengenezwa kwa metali hivyo ni simu imara
na inayoenda na wakati.
Katika kuhakikisha simu hii inakua n
aumbo na ubora unaotakiwa katika na soko, simu hii Tecno Camon CX tolea maalumu
ya Manchester City Inakuja ikiwa na vitu vingi adimu hasa katika muonekano
wake.
Tecno imeamua kufanya makubwa kwa wateja wake na kwa muonekano wa simu hii inadhihirisha kwa kiasi gani wateja wake watafaidika, simu hii imara inabeba kamera yenye 16MP mbele na nyuma wakati kwa upande wa mwanga simu hii ibebwa na LED flashi mbele zikiwa mbili huku nyuma zikiwa nne katika mfumo wa ringi.
Having a device as strong and beautiful as this in this modern day for a price that is reportedly affordable is only synonymous to a steal.
Kua na hii sio simu sio tu ni furaha
kwao ila inakufanya uweze kwenda na wakati kwa price unayoweza kuimudu.
No comments:
Post a Comment