Mkuu wa shule ya Sekondary Mugabe Madam Kayumbu akikabidhiwa vitabu hivyo na afisa elimu Neema Maghembe mara baada ya kukabidhiwa na mkurugenzi wa manispaa ya ubungo ndugu John Lipesi Kayombo |
Msaada huo wa vitabu umetolewa Taasisi ambayo ni asasi ya Wazalendo na maendeleo na watoto ni Amana
iliyowakilishwa na Mohamed Shaban aliyeambatana na Ally Six NurdinKatika makabidhiano hayo mbali na mkurugenzi wa Ubungo kukabidhi vitabu hivyo pia aliahidi kutoa matofali 1000 Pamoja na mifuko 50 ya cement kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule jambo lililoungwa mkono na Taasisi kwa kutoa matofali 200.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo John Kayombo akiwa katika Picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Sekondary Mugabe,walimu na wageni waliohuduria katika hafla hiyo ya kukabidhi vitabu hivyo |
Aidha Mkurugenzi kayombo ametoa agizo shule ya Sekondari Mugabe itumike kama Library ya wilaya ili kila shule walimu na wanafunzi waweze kwenda pale kujisomea
No comments:
Post a Comment