Wednesday, September 6, 2017

VIDEO - MAMA ANNA MAKINDA KUPEWA TUZO YA HESHIMA KWENYE TAMASHA LA JINSIA ...

Shirika lisilo la kiserikali la TGNP Mtandao limetoa tuzo mbalimbali kwa wanawake waliofanya vizuri katika nafasi mbalimbali za uongozi na harakati za ukombozi wa mwanamke na kuwa mifano mizuri ya kuigwa kwa jamii yetu.



Kwa kuliona hili TGNP Mtandao wametoa tuzo kwa Mama Anna Makinda kwa kuwa ni mwanamke wa kwanza nchini kuwa Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama Anna Makinda alipambana vya kutosha kuhakikisha anaitetea nafasi yake mpaka sasa amefikia kustaafu lakini ameacha histori kubwa kwa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.



Msikilize mama Anna Makinda baada ya kupewa tuzo ya heshima na TGNP Mtandao pia msikilize Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Dada Lilian Liund akieleza sababu za kutoa tuzo hizo kwa watu hao..



                

No comments: