Msanii wa muziki wa bongo fravour Diamond Platnumz ambae
pia ni Rais wa kundi la WCB Wasafi ameachia video ya wimbo
wake Mpya unaitwa waka waka aliyomshirikisha msanii kutoka
nchini marekani Rick Ross.
Wimbo huu ulikuwa unasubiriwa kwa hamu kubwa na watu
mbalimbali, kwani hata wakati wa utayarishaji wa video hii,
picha mbalimbali za Diamond akiwa na Rick Ross zilisambazwa mitandaoni, kila mmoja akiwa na lake la kusema.
Tazama video hii hapa chini===>>>>
No comments:
Post a Comment