Thursday, January 25, 2018

DKT. MAGUFURI AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS KAGAME WA RWANDA


Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Dkt Donald Kaberuka, Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Rwanda Mhe.Paul Kagame (kushoto kwa Rais), katika mazungumzo yaliyohudhuriwa pia na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa.

Rais John Magufuli amekutana na mjumbe Maalum wa Rais wa Rwanda na aliyewahi kuwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB), Dkt. Donald Kaberuka na kuzungumzia masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Tanzania na Umoja wa Afrika (AU).

No comments: