Saturday, February 17, 2018

MATOKEO YA AWALI YA UCHAGUZI JIMBO LA KINONDONI

haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Kinondoni yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha mgombea wa CCM, Maulid Mtulia akiongoza katika baadhi ya vituo.
Tokeo la picha la TUME YA UCHAGUZI BARA
Katika matokeo hayo, Mtulia anafuatiwa kwa karibu na mgombea wa Chadema, Salum Mwalimu huku wa CUF,  Salum Rajab Juma akishika nafasi ya tatu lakini kwa tofauti kubwa ya kura.

Baadhi ya matokeo hayo ni kama ifuatavyo;
Kituo cha Mashuka namba mbili Kata ya Tandale
Mtulia kura 45
Mwalimu 16
Salum Juma kura 7
Wagombea wengine tisa wa vyama vingine wakipata kura sifuri.

Kituo cha kijitonyama Shule ya Msingi C1,
Mtulia amepata kura 29,
Mwalimu kura 34
Juma wa CUF kura 1.

Kituo cha Kijitonyama C2,
Mwalimu kura 18
Mtulia 18
wagombea wengine wakipata sifuri.

Katika kituo cha Shule ya Msingi Kijitonyama C3
Matulia amepata kura 23
Mwalimu 24
Mgombea wa CUF akipata kura 1 na Mohamed Majaliwa wa NRA kura 1.
Kituo hicho kina wapigakura 373 ila waliopiga kura ni 49.
Kituo cha Ofisa Mtendaji wa Kata A-4, Kata ya Hananasifu
Mtulia kura 38,
Mwalimu kura 29 na Juma 2.

Kituo cha Ofisa Mtendaji wa Kata B-1, Kata ya Hananasifu;
Mtulia kura 42,
Mwalimu 32
Wagombea wa CCK na TLP wakipata kura moja kila mmoja.

Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa B4 kilichopo Kata ya Hananasifu;
Mtulia amepata kura 31
Mwalimu kura 37,
Juma 1
Mgombea wa Tadea kura 1.

Kituo cha Kisutu A-2 Kata ya Hananasifu;
Mtulia kura 48,
Mwalimu 39.

Kituo cha Ofisi ya Mtendaji Kisutu A-3 Kata ya Hananasifu
Mwalimu kura 29
Mtulia kura 32
Juma kura 1.

Katika Kituo cha Ofisa Mtendaji wa Kata C2,
Kata ya Hananasifu;
Mwalimu kura 43
Mtulia kura 34.

Kituo cha Leaders Club Frat-3 Kata ya Kinondoni
Mtulia kura 35
Mwalimu 27.

Kituo cha Ofisi ya Mtendaji Mtaa B-1 Kata ya Hananasif
Mtulia amepata kura 42
Mwalimu kura 32.

Kituo cha Hananasif A1 Kata ya Kinondoni
Mtulia amepata kura 37,
Mwalimu 23
Juma 1.

Kituo cha Shule ya Msingi Kijitonyama Kata ya Kijitonyama
Mwalimu amepata kura 19
Mtulia kura 19.

Kituo cha Ofisi ya Ardhi-2 Kata ya Kinondoni
Mwalimu amepata kura 23, Mtulia 19.

Kituo cha Shule ya Msingi Kijitonyama A-1
Mtulia kura 25
Mwalimu kura 35.

Kituo cha Idrisa 6 Kata ya Magomeni
Mtulia amepata kura 58
Mwalimu kura 21.

Kituo cha Idrisa 3 Kata ya Magomeni,
Mtulia 180
Mwalimu kura 36
Juma 3.

Kituo cha Idrisa 1 Kata ya Magomeni
Mtulia kura 26
Mwalimu kura 21
Juma 3.

Kituo cha Idrisa 2 Kata ya Magomeni
Mtulia amepata kura 44
Mwalimu 23
Juma 3.

Kituo cha Ofisi ya Aweo-5 Kata ya Makumbusho
Mtulia amepata kura 42
Mwalimu 20
Juma 2.

Kituo cha Weo Kata ya Makumbusho
Mtulia amepata kura 54
Mwalimu 36
Juma 1
Johnson Mwangosi wa Sau 1.

Kituo cha Mbuyuni 3 Kata ya Tandale, 
Mtulia kura  53,
Juma 3
Mwalimu 18.

Kituo cha Mashuka 2 Kata ya Tandale,
Mwalimu kura 16,
Juma 7
Mtulia 53.

Kituo cha Mashuka 1 Kata ya Tandale,
Mtulia amepata kura 59,
Mwalimu 14
Juma 3.

Kituo cha Ofisi ya Mpakani -7 Kata ya Ndugumbi,
Mtulia  kura 33,
Mwalimu 20,
Juma 6
mgombea wa Tadea 1.

Kituo cha Mpakani -3 Kata ya Ndugumbi,
Mtulia kura 49,
Mwalimu 14,
Juma 16
mgombea wa Tadea 1.

Kituo cha Serikali ya Mtaa Bwawani 4 Kata ya Kijitomyama,
Mtulia amepata kura 237,
Mwalimu 21
Juma 1.

Kituo cha Bwawani 01 Kata ya Kijitonyama,
Mwalimu amepata kura 23
Mtulia 100.

Kituo cha Bwawani 2 Kata ya Kijitonyama,
Mtulia amepata kura 37,
Mwalimu 24
Juma 1.

Kituo cha Weo 1 Kata ya Makumbusho,
Mtulia kura 35,
Mwalimu 20 na Juma 3.

Kata ya Sokoni Makumbusho A-1 Kata ya Kijitonyama,
Mtulia kura 30,
Mwalimu 12
Ashiri Saidi 1

No comments: