Msanii wa muziki Bongo Fleva nayekuja kwa kasi Amber Lulu ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘ Jini Kisirani’ audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Zest wakati video imwongozwa na Director Sniper.
ikumbukwe kuwa Amber Lulu ameshawahi kuwa video vits lakini pia amefanya vizuri na nyimbo zake nzuri kama Watakoma aliyomshirikisha Contry boy, na wimbo wake wa Only you ambao video yake ilifanywa na Director Deo Abel.
No comments:
Post a Comment