Monday, March 12, 2018

MEYA WA JIJI LA DSM ISAYA MWITA ALIPOMTEMBELEA OFISINI KWAKE WAZIRI MKUU MSTAFU

Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam , Isaya Mwita jana alimtembelea ofisini kwakwe na kufanya mazungumzo  na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na  Maendeleo Chadema Edward Lowassa ,ambapo wamejadiliana mambo mbalimbali kuhusu maendeleo ya jiji la Dar es Salaam.





No comments: