KIONGOZI HUYU WA CHADEMA AJIUZURU SOMA HAPA KUJUA SABABU ZAKE..
Naibu Katibu Mkuu Baraza la Vijana Chama cha Demokrasia na Maendeleo – Chadema (BAVICHA), Getrude Ndibalema amesema amejiuzuru nafasi hiyo na kubaki mwanachama wa kawaida ili kutimiza majukumu binafsi.
No comments:
Post a Comment