Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa Uzinduzi wa
Vituo Mwendo sita vya polisi ambavyo vimegawiwa kwa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni
ili kuweza kuzuia na kupambana na uhalifu huku akiwaasa wananchi kujikita
kwenye shughuli za maendeleo. Tukio hilo limefanyika leo, jijini Dar es Salaam.
Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
|
Kamanda wa Kanda
Maalumu ya Polisi Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akizungumza wakati wa
Uzinduzi wa Vituo Mwendo sita vya polisi ambavyo vimegawiwa kwa Mkoa wa
Kipolisi Kinondoni ili kuweza kuzuia na kupambana na uhalifu . Tukio hilo
limefanyika leo, jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
|
No comments:
Post a Comment