Sunday, May 19, 2013

BREAKING NEWZZZ----MBUNGE WA CHADEMA PETER MSIGWA ASHIKILIWA NA POLISI BAADA YA VURUGU ZA MACHINGA NA MGAMBO WA MANISPAA IRINGA.RUMANDE.


BREAKING NEWS!! MBUNGE MSIGWA AKAMATWA,KISA
 KUWATETEA RAIA WAKE:

Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM inastahili kuingia katika rekodi ya Serikali za kidikiteta duniani kwa kuwanyanyasa raia wake,hasa wanaoonekana kukataa chama Tawala yaani CCM.Wamachinga Iringa mida hii wanapigwa mabomu kana kwamba ni digidigi kstika nchi yao.Serikali imewawezesha kiuchumi na kuwapa eneo stahili ambalo ni rafiki kwao kabla ya kuwatimua tena kwa Mabomu kama majambazi?CCM mwogopeni hata Mungu kwa mnavyowanyanyasa Watanzania wenzenu,kumbuka huo udikiteta mnaoutumia kwa binadamu wenzenu malipo ni duniani,kama ni jimbo mlishapoteza na kamwe halitarudi kwenu.Msigwa kukamatwa ndio mnamwongezea umaarufu,MUNGU yupo naye.Toka lini giza na Nuru vikawa pamoja????NEVER!! SHAME UPON YOU!!!HABARI TOKA IRINGA ZINASEMA AMEKAMATWA NA POLISI NA KUKWEKWA NDANI KWA SABABU YA KUCHOCHEA VURUGU ZA M
ACHINGA MJINI IRINGA MUDA MFUPI ULIOPITA!! STAY TUNED!!

No comments: