HISTORIA FUPI YA MAREHEMU ALBET MANGWER
JINA LAKE HALISI NI ALBERT KENETH MANGWAIR
NI MTU WA RUVUMA MNGONI...,,,,MNGONI,LAKINI ALIZALIWA MBEYA TAREHE 16 NOVEMBER,MWAKA 1982.
YEYE NI MTOTO WA MWISHO KWAO,KWA BABA AKIWA MTOTO WA 10,KWA MAMA AKIWA MTOTO WA 6.
NGWAIR ASILI YAKE NI RUVUMA,YAANI MNGONI, ALIZALIWA MBEYA,A KIWA MIAKA 5 WALIHAMIA MOROGORO AKASOMA SHULE YA MSINGI BUNGO HADI DARASA LA 5,BABA YAKE AKAPATA UHAMISHO AKAHAMIA DODOMA,SO AKAHAMA NA BABA YAKE
AKAENDA AKAMALIZA SHULE YA MSINGI MLIMWA DODOMA.BAAADAE MAZENGO SEC,THEN CHUO CHA UFUNDI MAZENGO
No comments:
Post a Comment