Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.
Kwa mujibu wa mtu wao wa karibu, Ngwair na wenzie walitakiwa kurudi Tanzania leo wakitokea Afrika kusini...
Walipowapitia, waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya...
Mpaka sasa M to the P yupo hoi katika hospitali ya St. Hellen huku msanii Ngwair akiwa tayari amekwishaaga dunia.....

CHANZO:hapo juu kwenye lnk
No comments:
Post a Comment