Friday, May 10, 2013

KIMENUKAAAAA......JAYDEE SASA APELEKWA MAHAKAMANI SOMA ALICHOWAAMBIA MASHABIKI WAKE KUPITIA FACEBOOK

 
 
lad jaydee
 
Ratiba ya Usiku wa leo ni MACHOZI BAND kama kawaida, ila ratiba ya Jumatatu natakiwa Mahakama ya Kinondoni..Taarifa zaidi zitafuata nikijua kinachoendelea....
Ila kwa leo mje tuburudike Nyumbani Lounge mpk asubuhi.
Unlike · · · 12 minutes ago ·


No comments: