BREAKING NEWZZZ!! KAGAME CUP YAINGIA DOSARI,SERIKALI YATHAMINI USALAMA WA YANGA NA SIMBA
Breaking News...... Serikali imesema haioni busara ya Kagame Cup kupigwa Darfur.... Hakuna hoteli ya maana na watu wanashauriwa kutembea na fulana zinazozuia risasi kupenya... Nadhani hii ndiyo stori kubwa ya kimichezo kwa leo.... Je, mnadhani itakuwa busara kwa Simba na Yanga kushiriki?
No comments:
Post a Comment