Muda huu wa saa kumi na Mbili kwa saa za Afrika masharikikwa saa za South Africa nisaa kumi na Moja jioni.....tukiwa bado tupo kwenye majonzimakubwa yakupotelewa na ndugu yetuAlbert Mangweha.....Baada ya ratiba kupangika watanzaniawaishio nchini South Africawamepata nafasi ya kuaga mwili wa Albert Mangweha kuelekea katika safari ya mwisho...wakiongozwa na MsaniiBushoke na Mtoto wa Mhe. Kingunge Ngombale mwiru,Kinjeketile wanaosimamia mipango ya kuaga mwili nchini South Africa
ZIFUATAZO NI PICHA 4 WATANZANIA WAISHIO SOUTH AFRICA WAKIAGA MWILI WA ALBERT MANGWEHA: |
No comments:
Post a Comment