KWA MUJIBU WA MTANDAO WA JAMII FORUM UMEELEZA KUWA MBUNGE WA HAI NA MWENYEKITI WA CHAMA CHA DEMOCRASIA CHADEMA AMEKAMATWA NA JESHI LA POLISI NA YUPO CHINI YA ULINZI MKALI SANA,NADO HATUJAFAHAMU NINI KIMEMSIBU MBUNGE HUYO,BADO TUNAFWATILIA KWA KARIBU HABARI HIZI ILI KUKUPASHA KWA UKARIBU SANA KINACHOENDELEA SASA
ASANTENI SANA
No comments:
Post a Comment