BREAKING NEWZZ---MWENDELEZO WA KUKAMATWA KWA MBOWE HUU HAPA
HABARI AMBAZO TAYARI TUMEDHIBITISHA SASA NI KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE AMEACHIWA HURU MUDA HUU BAADA YA MAHOJIANO MAKALI NA JESHI LA POLISI MUDA MCHACHE ULIOPITA
HABARI ZINASEMA KUWA KAULI YA MBOWE ALIYOTOA KUWA POLISI WANAHUSIKA NA ULE MLIPUKO WA ARUSHA NDIO UMEWAFANYA POLISI KUMKAMATA KWA MAHOJIANO NA KUDHIBITISHA HILO AU KUKANUSHA
POLISI WAMEKUBALI MAWAKILI WA MBOWE KUWASILISHA UTETEZI WAO KWA MAANDISHI KWANINI ALISEMA HIVYO NA WAO WATAUFANYIA KAZI
ASANTENI SANA KWA KUENDELEA KUTEMBELEA HAPA
No comments:
Post a Comment