PASIANCE MLOWE MTAFITI WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM |
MKURUGENZI UWEZESHAJI NAYE ALIKUWEPO KATIKA MKUTANO HUO |
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM MKIRUGENZI WA MABORESHO NA UTAFITI BW HAROLD SUNGUSIA AMESEMA KUA UAMUZI HUO UMEKUJA BAADA YA KUONA JUHUDI ZA KUMTAKA WAZIRI PINDA KUWAOMBA WATANZANIA RADHI KUGONGA MWAMBA KITU AMBACHO AMESEMA KUWA NI KITENDO AMBACHO KIMEASHIRIA KUPANIA.
BW SUNGUSIA AMESEMA KUWA SIKU YA ALIHAMISI WANAWASILISHA KESI YA KUMSTAKI WAZIRI MKUU KATIKA MAHAKAMA AMBAYO BADO HAWAJAIWEKA WAZI KWA WANAHABARI
KAMA UTAKUMBUKA WAKATI WA VURUGU ZA ARUSHA NA ZILE ZA MTWARA WAZIRI MKUU AKITOA KAULI KUWA ,ukufanya fujo na umeambiwa usifanye fujo utapigwa tu,na mimi na sema wapigeni maana tumechoka
HABARI 24 BLOG ITAKUWA NA WEWE SIKU YA ALIHAMIC KUKURIPOTIA KESI HIYO
AROLD SUNGUSIA MKURUGENZI WA MABORESHO NA UTAFITI KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU. |
No comments:
Post a Comment