Friday, July 12, 2013
CHADEMA KUWASHA MOTO KESHO DAR
MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHADEMA BW MAKENE
CHADEMA KESHO KIMETANGAZA KUFANYA MKUTANO WAKE MKUBWA JIJINI DAR ES SALAAM WENYE LENGO LA KUZINDUA TAMKO LAKE KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA MWENENDO WAKE
MKUTANO HUO UTAFANYIKA KESHO MANZESE KUANZIA SAA NNE HADI SAA KUMI NA MOJA JIONI
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment