WANANCHI WA JIMBO LA UKONGA WAKIWA WANASIKILIZA KWA UMAKINI YALE YALIYOKUWA YANAENDELEA KATIKA MKUTANO HUO WA ADHARA ULIOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA CHANIKA JIJINI DAR ES SALAAM |
PEOPLEEESS POWER NDIO JAMBO LILILOKUWA LINAENDELEA HAPA WANANCHI WAKIONYESHA MAPENZI YA CHAMA CHAO |
MABERE MARANDO AKIWASILI VIWANJANI HAPO MAPEMA KUWAHUTUBIA WANANCHI HAO |
GRACE SHELUKINDO VITI MAALUM PIA ALIKUWEPO NAYE ALIPATA NAFASI YA KUZUNGUMZA NA WANACHAMA HAO NA KUWATAKA KUTOKATA TAMAA KWANI USHINDI WA CHAMA HICHO UPO KARIBU NA WAJIANDAE KUPOKEA USHINDI |
AKIZUNGUMZA LEO KATIKA MKUTANO WA HADHARA ULIOFANYIKA KATIKA JIMBO LA UKONGA KATIKA VIWANJA VYA STENDI YA UKONGA MBUNGE WA UBUNGO KWA TIKETI YA CHAMA HICHO MH JOHN MNYIKA AMESEMA KUWA KAMWE CHAMA CHAKE HAKIWEZI KUKUBALI TOZO HIYO AMBAYO NI MZIGO MKUBWA KWA WANANCHI
MH MNYIKA KATIKA KILE AMBACHO KIMEONEKANA NI KITU CHA TOFAUTI AMETOA NAMBA YA SIMU YA MH ENDRU CHENGE KWA MAMIA YA WANANCHI KATIKA MKUTANO HUO ILI WAMPIGIE NA KUMUULIZA KWANINI ANAUNGA MKONO KODI HIYO
AMESEMA KUWA SIO KITU CHA AJABU KUTOA NAMBA HIYO KWANI KAMA YEYE NI KIONGOZI WA WANANCHI LAZIMA WANANCHI WAWE NA NAMBA YALE HIYO
KATIKA MKUTANO HUO PIA ULIHUDHURIWA NA VIONGOZI KADHAA WA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO AKIWEMO MH MABERE MARANDO
HAPA SASA AKAAMUA KUWEKA WAZI NAMBA YA MH CHENGE NA KUWAAGIZA WANACHAMA HAO KUMPIGIA NA KUMUULIZA KWANINI KAPITISHA TOZO ZA LAINI ZA SIMU |
No comments:
Post a Comment