SAKATA LA KUKAMWATWA KWA WASICHANA WAWILI WATANZANIA AMBAO NI AGNESS MASOGANGE NA MWANZAKE NA MELISA EDWAD HUKO AFRICA YA KUSINI NA MADAWA YA KULEVYA YAMEKUWA YAKISEMWA MENGI SANA JUU YA SAKATA HILO
HUKU KUKIWA NA TAARIFA KUWA AGNESS HUYO SIO YULE ANAYEJULIKANA KAMA MASOGANGE LAKINI TAYARI MREMBO HUYO AMEKIRI KUWA YEYE NDIO AMEKAMTWA NA MADAWA YA KULENYA NCHINI HUMO NA ANASHIKILIWA NA POLISI WA AFRICA YA KUSINI
AIDHA BAADA YA JESHI LA POLISI KUTANGAZA HABARI HIZO SASA LIMEAMUA KWENDA HUKO KWA AJILI YA KUFANYA NAO MAHOJIOANO JUU YA JAMO LILILOWAKUTA NA KUJUA KAMA SAKATA HILO LINA UKWELI WOWOTW NA HATUA GANI ZINAFWATA
KAMANDA WA POLISI KITENGO CHA MADAWA YA KULEVYA BW GODFREY NZOWA AKIZUNGUMZA NA MTANDAO HUU MUDA MFUPI AMESEMA KUWA ANAAMINI WADADA HAO WAMETUMWA NA KIKUBWA AMBACHO WANATAKA WAKAJUE KUTOKA KWAO NI MHUSIKA MKUU WA MZIGO HUO
No comments:
Post a Comment