KATIKA PITA PITA ZANGU KATIKA MITANDAO MBALI MBALI LEO NIKAKUTANA NA KAULI AMBAYO MIMI IMENIFURAHISHA SANA KWA JINSI NILIVYOITAFSIRI MIMI
MSANII AMBAYE HIVI KARIBUNI AMEKUWA NA MANENO SANA NA BAADHI YA WATU LADY JAY DEE AMA ANAKONDA KWENYE MTANDAO WAKE WA TWITER AMEANDIKA MANENO HAYA AMBAYO WENGI WAMEYATAFSIRI KAMA NI KUACHANA NA UGONVI ULIOKUWEPO BAINA YAKE NA MMLIKI WA KITUO KIMOJA CHA RADIO TANZANIA
JITIHADA ZA KUMTAFUTA ILI TUJIE UKWELI WA MANENO HAYO UNAENDELEA NA TUTAKUJUZA KILE AMBACHO ATAKISEMA YEYE MWENYEWE.
BAADHI YA WATU WAMETAFSIRI KIVYAO KAULI HIYO WENGI WAKISEMA NDIO BIFU LAKE NA JAMAA LIMEISHIA HAPO HUKU WENGINE WAKISEMA NI UTANI NA BIFU LIPO PALE PALE
MANENO ALIYOYAANDIKA NI HAYA HAPA
Sitaki ugomvi na mtu tena mpk mwaka kesho.
No comments:
Post a Comment