NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA LA MITIJHANI TANZANIA DK CHARLES MSONDE AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM |
AKITANGAZIA MKUTANI HUO NAIBU KATIBU MKUU WA BARAZA HILO DK CHARLES MSONDE AMESEMA KUWA HII ITAKUWA MARA YA TANO KWA MKUTANO HUO KUFANYIKA TANZANIA AMBAPO MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA 1983.
MKUTANO HUO UNATARAJIWA KUFUNGULIWA NA MAKAMU WA PILI WA RAISI WA ZANZIBAR MH BALOZ SEIF ALI IDDI,AIDHA VIONGOZI WENGINE MBALIMBALI WA SERIKALI PAMIJA NA WA ELIMU WAMEKARIBISHWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO
BAADHI YA WANAHABARI WALIOHUDHURIA KATIKA MKUTANO HUO |
No comments:
Post a Comment