Wednesday, August 14, 2013

TASWIRA KATIKA TAIFA.BOMOA BOMOA YA KULIWEKA JIJI LA DAR SAFI



             HAYA YOTE UKIYAONA HUWEZI AMNI KAMA YANAPATIKANA POSTA AMBAPO NI KATI KATI YA MJI KABISA,MANISPAA YA ILALA IMEFANYA ZOEZI LA KUBOMOA MAJENGO KADHAA KATIKA MTAA WA SAMORA POST JIJINI DAR ES SALAAM KWA LENGO LA KUWEKA JIJI HILO KATIKA MPANGILIO MZURI

         MAJENGO HAYA YANAAMINIKA KUWA YAMEJENGWA ZAMANI SANA NA NI MALI YA SERIKALI HIVYO WALIOKUWA WANAYATUMIA NI WAVAMIZI TUU NA HAWANA CHA KUDAI

        HONGERA SERIKALI KATIKA KULIPANGA JIJI LA DAR ES SALAAM/

MTAZAMO WA HABARI24 BLOG

No comments: