MKUU WA JESHI LA POLISI TANZANIA SAID MWEMA AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA HIYO AMBAYO IMEFANYIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA OLISI TANZANIA DAR ES SALAAM LEO MUDA MCHACHE ULIOPITA AMBAPO AMESEMA KUWA MSAADA HUO NI MATUNDA YA ZIARA YA MH RAISI JK ALIYOIFANYA NCHINI UTURUKI NA KUAHIDIWA KUSAIDIANA KATIKA MASWALA YA ULINZI WA NCHI NA KUPAMBA NA WAHALIFU.,, AMESEMA KUWA MAENDELEO KATIKA NCHI YOYOTE YANAKWAZWA NA UHALIFU HIVYO WAMEONA NI BORA USHIRIKIANO BAINA YA NCHI HIZO MBILI UJIKITE ZAID KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU KWANI UTURUKI NI MOJA KATI YA NCHI DUNIANI ZILIZOIGA HATUA SANA KATIKA SECTA HIYO |
No comments:
Post a Comment