TAARIFA AMBAZO BLOG YETU YA UHAKIKA TUMEIPATA NI KUWA MAMA MZAZI WA MSANII ANAYETAMBA SANA TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA SARA KAISI KWA JINA LINGINE SHAA AMEFARIKI DUNIA MUDA SIO MREFU
MSIBA UPO NYUMBANI KWA PROFESA KAISI NJIA YA KUELEKEA NYUMBA ZA MAWAZIRI AU CRDB
MUNGU AMPE NGUVU SANA SHAA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU SANA KATIKA MAISHA,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMINA
HABARI24 BLOG INAKUPA POLE SANA
No comments:
Post a Comment