Thursday, September 26, 2013

BREAKING NEWZZ-BOTI YAZAMA ZIWA TANGANYIKA

            HABARI AMBAZO BLOG YENU IMEZIPATA KUTOKA HUKO ZIWA TANGANYIKA NI KUWA BOTI KUBWA IMEZAMA KATIKA ZIWA HILO NA TAYARI WATU 12 WAMEOPOLEWA WAKIWA TAYARI WAMEKWISHA FARIKI,

         CHANZO CHETU KINAELLEZA KUWA BADO HAIJAJULIKANA KUWA RAIA HAO NI WA NCHI GANI ILA TAYARI HATUA ZAIDI ZINACHUKULIWA IKIWA  NI PAMOJA NA VIKOSI MBALIMBALI VYA UOKOAJI KUFIKA ENEO LA TUKIO KUSAIDIA,

TUTAWAJUZA HALI ITAKAVYOKUWA

chanzo -- jamii forum

No comments: