TAARIFA za uhakika ni kuwa kuna Askari mmoja ambaye ni miongoni mwa walinzi wa Bunge ameenda kufungua faili Polisi Dodoma na kusema kuwa ametishiwa kupigwa na Mbunge Sugu, baada ya kufungua JALADA hilo polisi wamechukua Diffender sita na wameingia mitaani kumtafuta ili awekwe ndani mpaka kesho ndio afikishwe mahakamani asubuhi.
Lengo la kutaka kumkamata leo ili alala ndani hadi kesho asubuhi.chanzo http://www.jamiiforums.com
No comments:
Post a Comment