AFISA UHUUSIANO WA TFDA GAUDENSIA SIMWANZA AKIZUNGUMA NA WANAHABARI LEO KATIKA UKUMBI WA HABARI MAELEZO JIJII DAR ES SALAAM |
Akizungumza a waandishi wa habari afisa uhusiano wa mamlaka hiyo bi GAUDENSIA SIMWANZA amesema kuwa mafuta hayo yalipita katika vipimo vyote vya mamlaka hiyo na kugundua kuwa mafua hayo ni hatari kwa binadamu hivo hakuna haja ya kuendeleza mjadala huo
No comments:
Post a Comment