ALMAS MAIGE AMBAYE NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAAJIRI TANZANIA |
Akizungumza na waandishi wa abari jijini dar es salaam muda mchace uliopita mwenyekiti wa chama hicho bw ALIMAS MAIGE amesema kuwa tukio la tuzo hizo limekuwa likifanyika kila mwaka nchini kwa muibu wa kalenda ya chama cha waajiri tanzania ambapo amesema kuwa tuzo hiyo inalenga kuwezesha uwapo wa namna bora kabisa ya kusimamia rasilimali watu,kitaaluma,na kimazingira kwa nia ya kuleta tija na utendaji mahala pa kazi
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAAJIRI TANZANIA ATE AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI TANZANIA |
Katika tuzi hizo mwaka huu zitakuwa na tuzo 21 huku kukiwa na kipengele jipya kabisa cha MJASIRIAMALI KIJANA TANZANIA ambapo ni kwa mara ya kwanza kuwepo kipengele hicho
WANAHABARI WAKISIKILIZA KWA MAKINI KUHUSU TUZO HIZO |
No comments:
Post a Comment