Mbunge wa viti maalum wa chama cha Mapinduzi (CCM), Rosweeter Kasikila (60).
Mbunge wa viti maalum wa Chama Cha
Mapindizu (CCM), Rosweeter kasikila (60), amefunga ndoa na kijana mdogo
amabye anaweza kumzaa aliyefahimika kwa jina la Michael Christian (26).
Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la
Tanzania Assembles of God(TAG) , linaloongozwa na mchungaji Getruded
Rwakatare ambaye ni mbunge wa viti maalum wa CCM, ndoa hiyo imekuwa
gumzo baada ya kuwaacha hoi baadhi ya wabunge, mawaziri na majirani
wanaoishi na mbunge huyo.
Majarani wamesema kwamba ndoa hiyo
ilifungwa Septemba Mosi mwaka 2011 na sasa imebaki kuwa siri kubwa licha
ya wanandoa hao kugombana.
No comments:
Post a Comment